Nilitaka kumuandika huyu mkongwe.Somebody Michuzi.
Yuko vizuri.Nilitaka kumuandika huyu mkongwe.
Somebody Michuzi.
Nancy mitikisiko SalambaIkiwa leo ni maadhimisho siku ya Bloggers,
Binafsi Blogger ambaye namkubali ni Millard Ayo. Kabadilisha sana industry ya Blogging Tanzania na kuifanya iheshimike
Hata kwenye upande wa 'Maokoto' Millard amefanya watu wengi wawe inspired kuanzisha Blogs kwa sababu waliona kuna fursa ya wao kupata mkate wao wa kila siku
Nyie wenzagu mnamkubali Blogger yupi Tanzania?
πππ P.I.L.A.UNancy mitikisiko Salamba
Rahatupudotblogspotdotcom
Watoto wajuzi hamuwezi kuelewa nn nazungumza hapa.
Ndio bado yupo sana Mkuu.Wa mda sana huyu. Hivi bado yupo
Mbona blog yake ilishafungwa?Ikiwa leo ni maadhimisho siku ya Bloggers,