Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Waje tu ntawapiga kama Awadhi nina popobawa wengi wakuwatia ushuzi hao ChademaMkuu umejiandaa kwa mashambulizi yao lakini?
😀😀😀
Utayaoga muda sio mrefu.Waje tu ntawapiga kama Awadhi nin popobawa wengi wakuwatia ushuzi hao Chadema
Ndivyo unaweza kusema kuwa sasa Chadema wageuka vibweka wa kudeka na kuropoka uongo acha tuwasikilize.
Nchi hii Ina wenyewe mtake mistake CCM ndio baba la baba na CCM ndio mama la mama.
Mtasubiri sana Awadhi Jua la Asubuhi Hana mzaha.
Chief Wadiz
Wewe bado mdogo sana kimawazoNdivyo unaweza kusema kuwa sasa Chadema wageuka vibweka wa kudeka na kuropoka uongo acha tuwasikilize.
Nchi hii Ina wenyewe mtake mistake CCM ndio baba la baba na CCM ndio mama la mama.
Mtasubiri sana Awadhi Jua la Asubuhi Hana mzaha.
Chief Wadiz
Kwa hiyo ulivyoshiba mihogo ndiyo ukaanza kuandika huo ujingaujinga wako?Nenda kachambe sasa!Ndivyo unaweza kusema kuwa sasa Chadema wageuka vibweka wa kudeka na kuropoka uongo acha tuwasikilize.
Nchi hii Ina wenyewe mtake mistake CCM ndio baba la baba na CCM ndio mama la mama.
Mtasubiri sana Awadhi Jua la Asubuhi Hana mzaha.
Chief Wadiz
Chama cha kudeka na kutoa ushuzi 🤣🤣🤣Kwa hiyo ulivyoshiba mihogo ndiyo ukaanza kuandika huo ujingaujinga wako?Nenda kachambe sasa!