McLaren JF-Expert Member Joined Feb 19, 2025 Posts 1,170 Reaction score 3,743 Sep 15, 2026 #1 Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa tarehe 15 Septemba kila mwaka. Siku hii ilitengwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 kwa lengo la kuhamasisha na kulinda misingi ya demokrasia kote duniani
Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa tarehe 15 Septemba kila mwaka. Siku hii ilitengwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 kwa lengo la kuhamasisha na kulinda misingi ya demokrasia kote duniani
Clayton Paul JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 2,284 Reaction score 4,858 Sep 15, 2026 #2 Wasio na nyadhifa au watu wasio na nguvu wanaposhindwa kupata nafasi kujieleza na kuskilizwa hapo hakuna Demokrasia.
Wasio na nyadhifa au watu wasio na nguvu wanaposhindwa kupata nafasi kujieleza na kuskilizwa hapo hakuna Demokrasia.
Course Coordinator1 JF-Expert Member Joined Mar 20, 2025 Posts 857 Reaction score 2,341 Sep 15, 2026 #3 CCM hawataki demokrasia kabisa Wanataka tuishi kijamaa yaani Tuishi kama Urusi na China Wakati huo huo Uchumi wanaendesha kibeberu.
CCM hawataki demokrasia kabisa Wanataka tuishi kijamaa yaani Tuishi kama Urusi na China Wakati huo huo Uchumi wanaendesha kibeberu.
allow cp JF-Expert Member Joined Aug 15, 2026 Posts 1,134 Reaction score 3,467 Sep 15, 2026 #4 ndege ikilipuka yote huenda ndio ukawa mwanzo mpya.