Leo ni Siku ya Demokrasia Duniani. Ni kitu gani kikifanyika kitaboresha Demokrasia ya Tanzania?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa tarehe 15 Septemba kila mwaka.

Siku hii ilitengwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 kwa lengo la kuhamasisha na kulinda misingi ya demokrasia kote duniani

​
 
Wasio na nyadhifa au watu wasio na nguvu wanaposhindwa kupata nafasi kujieleza na kuskilizwa hapo hakuna Demokrasia.
 
CCM hawataki demokrasia kabisa
Wanataka tuishi kijamaa yaani
Tuishi kama Urusi na China
Wakati huo huo Uchumi wanaendesha kibeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…