ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Nakumbuka siku za nyuma ulikuwa unatoka na mnyakyusa mwenzio Bujibuji Simba Nyamaume huku mkijifanya walokoleHAMJAMBO WADAU
Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo.
Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu.
Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni?
Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale unapopata changamoto za maisha au unafurahije pale unapoona mambo yanaenda sawa kama ulivyotarajia
Je, unayo FURAHA?
SHIRIKI HAPA KUTUELEZEA FURAHA ULIYONAYO
Jokes hazitakiwi jamani ni kufurahi tu hapa karibuni
Wasalaam
Ladyfurahia
hhahaaahahaaaaaaaaaaaaaa aiseee asante nimefurahi
Tuyajenge basiHAMJAMBO WADAU
Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo.
Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu.
Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni?
Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale unapopata changamoto za maisha au unafurahije pale unapoona mambo yanaenda sawa kama ulivyotarajia
Je, unayo FURAHA?
SHIRIKI HAPA KUTUELEZEA FURAHA ULIYONAYO
Jokes hazitakiwi jamani ni kufurahi tu hapa karibuni
Wasalaam
Ladyfurahia
aiseeee hongera kwa kujua hilo ingawaje umechemkaNakumbuka siku za nyuma ulikuwa unatoka na mnyakyusa mwenzio Bujibuji Simba Nyamaume huku mkijifanya walokole
Duh.Nakumbuka siku za nyuma ulikuwa unatoka na mnyakyusa mwenzio Bujibuji Simba Nyamaume huku mkijifanya walokole
bora wewe uliyeshangaa maajabu ya musaDuh.
Duniani kuna watu na viatu. Sio kila unayekutana naye ni mtu.bora wewe uliyeshangaa maajabu ya musa
yaani inashangaza mkuu duuuDuniani kuna watu na viatu. Sio kila unayekutana naye ni mtu.
Anza na mie yatima wa JF kwanza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitaenda kusherekea siku ya Leo kituo cha watoto yatima na watoto wasio jiweza na nitawapa mahitaji muhimu vyakula nguo na sabuni ili nao wapate furaha
Wewe sio yatima 😁😂🤣🤣Anza na mie yatima wa JF kwanza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kabisa bestShida ni kuwa furaha it's too subjective.
Na kilele cha furaha...life span yake ni fupi Sana..
Lakini tunajifunza kuwa grateful no matter what!