Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
UNESCO hawako "aggressive" enough!Kutokana na tabia yetu ya kutoijali elimu wananchi hatujui kuwa leo ni siku ya kimataifa ya elimu, ingekuwa ni siku ya walevi tungetangaziwa, siku ya wanawake tungetangaziwa, siku ya kuondoa mkonosweta tungetangaziwa, lakini siku ya elimu, acha ipite kimyakimya!
Serikali yetu na vyombo vyetu vya habari navyo?UNESCO hawako "aggressive" enough!
Redio yetu "Radio Kwizera" wameitaja na kuiadhimisha kwa kutoa Elimu ya Sheria katika hili Juma la Sheria.Serikali yetu na vyombo vyetu vya habari navyo?