ukiona hivyo ujue amekosa cha kufanya mtu uliye busy huwezi shobokea msima wa mtu asiyekuhusu bila ruksa ya familia yakeUmekuwepo mtindo wa watu kujiliwaza shida zao kwa ku-post picha za watu waliofariki. Unakuta mtu hana uhusiano kabisa na marehemu lakini katika njia ya kujiliwaza anapopata picha yake ana-share kwenye social media na kujifanya ni ndugu yake. Huu ni ugonjwa wa akili.
Labda wa Ivo wanataka rambirambiUmekuwepo mtindo wa watu kujiliwaza shida zao kwa ku-post picha za watu waliofariki. Unakuta mtu hana uhusiano kabisa na marehemu lakini katika njia ya kujiliwaza anapopata picha yake ana-share kwenye social media na kujifanya ni ndugu yake. Huu ni ugonjwa wa akili.
Hili neno, ndiyo mara yangu ya kwanza kuliona/kulisikia!Takbiur