Leo ni siku ya kumpumzisha aliyekatwa shingo na "wasiojulikana"

Mungu awatie Nguvu. Damu ya Mtu haipoteagi hivi hivi.
 
Kwa hiyo mi najiombea kufiwa msiba sio?
 
ukiona hivyo ujue amekosa cha kufanya mtu uliye busy huwezi shobokea msima wa mtu asiyekuhusu bila ruksa ya familia yake
Ukiona hivyo ni wale wanaotafuta kuchangiwa zamani kulikuwa na jamaa wanatembeaga na picha kabisa na kidaftari na wana chukua hela
 
Miaka 55+ bad binadam wanawivu tu wa mapenzi?
Miradhi ya mali japo marehemu alikuwa mke wa pili na mpaka sasa mume amekuwa na umri umeenda kutembea ni shida na mume alirudi kwa mke wa kwanza huko rombo kabisa sema huyu mke wa pili yeye alikuwa kajengewa boma lake karibu na boma la mke wa kwanza sasa kuna tetesi zinasema mke wa kwanza katuma wauwaji ili watekeleze hivyo abaki na mali
 
Lala panapo stahili shangazi
kwa vile swala lipo polisi ningekuuliza maswali kadhaa
Polisi wao washasema chanzo ni viashiriria vya wivu wa kimapenzi na mpaka sasa kuna watu kadhaa wameshikiliwa u hunguzi ndio unaendelea
 
Kwenda huko, Marehemu alikuwa ni mchepuko rasmi, (Sababu wakatoliki Wana ndoa moja tu) na tukisema tuhesabie wake Marehemu alikua mke wa tatu. Mke mkubwa ni Mzee na mpole Sana na Hana shida kabisa sababu mwanae ni tajiri laana. Mwache mama wa watu. Mke mkubwa ni mpole na mstaarabu Sana na ndo maana hata huyu mama alimchkua mume wake, na yule mama wa pili ameshafariki
 
Unyama mkubwa sana huu. Wote waliopanga na kushiriki hawataweza kuwa ana Amani ya moyo tena.
 
Sasa mi nimeandika nini na wewe umeandika nini.
Marehemu alikuwa mke wa pili mke mkubwa yupo ndio nimebisha wapi.
Eti mchepuko..mtu amejengewa nyumba na ameishi na mume (japo mke wapili)na amezaa na mji kajengewa na tanazikwa kwenye huo mji sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…