Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.


Neno moja kwake.
 
Heri ya kuzaliwa bingwa wa demokrasia.

Ila ulimvumilia sana rafiki yako fisadi mpaka akaivuruga nchi yetu watanzania wengi wakawa wanataka kuwa mafisadi kwa sababu Lowasa alikuwa role model wao .
 
Mzee wetu wa msoga, Tunakuombea maisha marefu, ila mkuu ungeweka na akaunti yake ya M-peasa ili tumchangie hela apande ndege ya Emirates aende ulaya akapumzike maana anapenda sana kupanda ndege na kwenda ulaya
 

Clauz FM Leo hawajaandaa Sherehe?
 
Happy belated birth day Rais Mstaafu na mzaliwa wa Msoga Allah akupe maisha marefu. Kikwete amezaliwa mwenzi mmoja na mimi huenda na mimi nikaja kuwa Mtu Diplomat[emoji2] [emoji2] [emoji2]

 
Sisi wengine tulimlaumu sana, tukambeza sana, tukamcharau sana kwa upole wake hadi kumuita "dhaifu", lakini leo tunamkumbuka, tunameheshimu na kuukumbuka upole wake na faida zake.
Ama Kweli nabii siku zote hathaminiwi nyumbani! .
HBD JMK.
Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…