Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo inaonesha wewe ni mtukutu sana. Hivi vitu vyako sijui huwa unavitoaga wapi instantly.
Sio lazima kila mtu aone upuuzi wako.. Wakati mwingine Baki nao mifukoni mwako tu...Ni mshenzi type
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.
View attachment 413694
Neno moja kwake.
Huyu ni Rais Mstaafu, ukishughulikiwa usichukie........ Naona kwenu somo la heshima kwa wakubwa lili kupiga chenga.Ni mshenzi type
Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo kuwa huna heshma hujui wakubwa wako wala wadogo wako.Ni mshenzi type