Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Sioni hata moja ulilofanya katika utawala wako zaidi ya kutupotezea miaka 10. Labda nikukumbuke maana babu Seya bado yupo ndani
 
leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais mstaafu JK mpe neno lolote la kumtakia mema katika siku yake hii adhimu
 
Heri ya kuzaliwa mheshimiwa "raia maarufu"
We miss your sense of humour.
 
Happy birthday mr president jk
Mungu akupe afya njema na umri mrefu zaid
Ameeen

Hakika wewe n miongon mwa viongozi bora zaid barani afrika
 
Mungu ampe maisha marefu kuzidi akina Robert Mugabe. Hongera sana Mstaafu wetu JK
 
Hao Wazazi wangu sijawahi kuwatakia HBD....
 
Sioni hata moja ulilofanya katika utawala wako zaidi ya kutupotezea miaka 10. Labda nikukumbuke maana babu Seya bado yupo ndani
watu wenye akili na uwezo wa kufikiri na kutambua mambo watamkumbuka sana
 
waohhh baba Tunakutakia kila la heri katika maisha yako, Mungu akuweke uone vitukuu...akuepushe na mabalaa...
baba yetu usiye na makuu, mpenda watu...Nitakupenda milele




oo
 
Kwahiyo sufuria leo ni Msoga? Tafadhali mzee ipe haki dini yako ktk siku kama ya leo.....HBD tu ur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…