Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
happy birthday!...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasanii gani?Hao wanaoishi kiujanjaujanja mjini?Sahau....Wasanii wa bongo kwa kijipendekeza hata yule jamaa wa Boko haramu wanawezakumuwish tuu.
Huyo atakuwa ajenti wa Lowassa.U'r son of the bitch. Unatukana hadi wazee wako, **** wewe.
Kwa tabia hii napendekeza ukanyee debe gerezani.Ni mshenzi type
Hapana si hivyo jamani; mtu ambaye amekuwa kiongozi wa juu kabisa wa Taifa lako usitumie kinywa chako kumtukana hata kama hakufanyaNi mshenzi type
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.
View attachment 413694
Neno moja kwake.
unakuta nawewe ni kiongozi mwandamizi hapo ufipa.Ni mshenzi type