Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Wasanii wa bongo kwa kijipendekeza hata yule jamaa wa Boko haramu wanawezakumuwish tuu.
 
Hbd mheshimiwa, tumekukumbuka sana maisha magum mtaani vitu vimepanda bei, huyu uliyemwachia nchi kasitisha ajira na nyongeza ya mishahara, kwake yeye ni bora kununua ndege kuliko kutoa ajira na nyongeza ya mishahara, tunakulaumu sana kutuletea mtu ambaye hafit kuwa raisi, ingekua kipindi chako vijana wangekua wameshapata ajira na sisi tushaongezewa mishahara, tumekukumbuka baba, jitahd bac hata umshaur jinsi ambavyo ww ulkua unaweza kuiendesha nchi na maisha yakawa na nafuu mtaani na jinsi ulivyoweza kushusha bei ya vitu.
 
Leo pia ni siku ya kuzaliwa ya Rais Vladimir Putin wa Urusi. Alizaliwa 7/10/1952.
 
happy birthday rais wangu mstaafu mpendwa
Jakaya Mrisho Kikwete
 
kikwete anawake 3 mbona hapa anaonekana 1 halafu kuhusu makomeo mtaambulia push up tu
 
Dah! Ahsante muanzisha thread. Bila hii thread yako nisingekumbuka kuwa nami birthday ni leo.
 
Happy birthday mr president
Mola akujaaalie afya njema,umri mrefu na hatma njema.

Kwa hakika kabisa taifa na wananchi wake tutaendelea kukukumbuka hasa kutokana na mchango mkubwa katika kuliletea maendeleo taifa letu.

Hakika unastahili kila pongezi na shukrani.
 
Ni mshenzi type
Hapana si hivyo jamani; mtu ambaye amekuwa kiongozi wa juu kabisa wa Taifa lako usitumie kinywa chako kumtukana hata kama hakufanya
vile wengi walitarajia; waache wengine wamtukane but not you for the sake of being blessed. Hata maandiko Matakatifu hasa Biblia inakataza kabisa kuwa usimtukane mkuu wa watu wako. Maneno ya Mtume Paul kwa Timotheo "Usimkemee mzee maana bali onya kwa upole maana huyo ni mzee". Ni kweli kabisa unaweza kumkosoa tu alipokesa but don't use insultation words kwakuwa ni chukizo kwa MUNGU muumba. Happy Birthday Mzee Kikwete I love you, long life I wish you
 
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.

View attachment 413694
Neno moja kwake.

Happy Birthday JK.
Pamoja na kuparanganya katiba ya wananchi aka ya Judge Warioba LAKINI kuna maeno Fulani Fulani tunakukumbuka sanaaaah tuuuu!!!! Eg Kwenye viwanja nakadhalika. Kwa sasa waliobaki hata kwenye misiba na maafa ya kitaifa hawafiki kabisaaa
Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha na utulivu moyoni.
 
Back
Top Bottom