Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Duh! Una Ugomvi naye? Kafanyaje nzee wa watu?! Kwani kakuchukulia nkeo mpaka uwe na hasira naye hivyo?!
Labda madili yake ya Richmond, Dowans, IPTL na Escrow yamefanya bili yake ya umeme ipande, na yeye hapendi kutumia kibatari?
 
" Eti wanasema JK hachomoi.....kwani nimechomeka nini? [emoji1] [emoji1] [emoji1] "

HBD JMK.
1475851110183.jpg
 
Hero ya kuzaliwa Mh. JMK!!! Ishi miaka mia zaidi ili tuendelee kuona tabasamu lako! !!
 
Happy birth day mzee.
Uishi miaka mingi...
Heshima zikufikie popote ulipo mzee wa mweny busara
 
Heri ya Kuzaliwa JK aka Mtoto wa Mjini

*Wale waliokuwa wanakutukana siku hizi wanakulilia wanatamani katiba ingebadilishwa uendelee kuwaongoza
 
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.

View attachment 413694
Neno moja kwake.
So what? Tuifanye iwe sikukuu ya taifa?
 
Mungu na Azidi kukupa maisha marefu, Mzee wa Msoga! Barkiwa sana
 
Happy birth day rais wetu mstaafu Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha , amani ,upendo
 
Back
Top Bottom