Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Mola azidi kumpa nguvu azidi kuwashikilia mashehe wa uamsho kule rumande
 
Kila laheri Rais wetu Mstaafu.Mungu akupatie maisha marefu na yenye heri.
 
Ni mshenzi type
JK alikuwa mvumilivu sana katukanwa matusi yote lakini kwake siyo tatizo.

Kamanda kama kweli wewe ni kamanda jaribu kumuita hivyo rais wetu Magufuli kisha tuwafahamishe wazee wa kazi wafanye yao.

Unadhani hiyo ID yako feki imejificha.
 
Nilitaka kuchelewa kwenye hii HBD Party but nimewahi keki.Kata keki tuleeeeeeee.HBD wa jina la kutoka kwetu na mzaliwa wa Bwagamoyo jirani yake babu yangu mzee fulani wa kerege tungini kwa kina fulani bila kusahau mlingotini kwa mzee Ally Chambuso.Shughuri na mzaramo ni sawa ni kama basi la mwendo kasi na breki za ghafla.teh teh
 
Mimi binafsi nammiss sana ,na SIKU hizi hatumuoni hata kwa TV ...nimemiss hotuba zake za kila mwisho wa mwezi..mungu akupe maisha marefu mh.JK...we miss you
 
Mzee wetu wa msoga, Tunakuombea maisha marefu, ila mkuu ungeweka na akaunti yake ya M-peasa ili tumchangie hela apande ndege ya Emirates aende ulaya akapumzike maana anapenda sana kupanda ndege na kwenda ulaya
Labda awekwe benchi la ufundi la Yanga
 
Babake mazaga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…