Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

7 Oktoba 1950 - anazaliwa Dkt. Jakaya Kikwete,Rais wa awamu ya nne wa JMT.
4f15afbfe351b50595d6cf981a612912.jpg
 
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.

View attachment 413694
Neno moja kwake.
Happy Birthday our former President,may you live long to witness the Great Nation of Tanzania which God ordained since the Creation of foundation of the Earth.
 
Happy birthday mzee wetu ila kiukweli tumeishakukumbuka
 
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.

View attachment 413694
Neno moja kwake.
Happy Birthday retired prezidaaa
 
Back
Top Bottom