Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Umeshamjibu tayari mbona, ungekaa kimya tuSwali lako halihusiani na uzi husika , Sitalijibu
Vyoo vya aina gani?Swali ni hili, je unadhani Nchini Tanzania vyoo vinatosheleza mahitaji ya wananchi wake?
Mashuleni, Mahospitalini, Masokoni, Maofisini, vituo vya mabasi hali ikoje?
View attachment 2016335
Hakuna raha kama kunya poriniWengine wanakunya maporini, hata ukiwajengea vyoo kazi bure tu. Badala ajisaidie shimoni linajisaidia juu. Afrika ni afrika tuu.
Hakuna raha kama kunya porini