JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Nimekuwa nikilifuatilia hili swala la internet kuzimwa kila ifikapo jioni, na siku ya leo nilitega alarm kabisa ili nithibitishe! Na imekuwa vile nilivyotarajia!.
Uoga huu wa (serikali) ni juu ya kutaka kupunguza kasi ya mijadala mitandaoni, kwa kuwa muda huu, ndipo watu wengi wanakuwa wametoka ama wanatoka makazini...hivyo ni muda wengi wanautumia kuingia mitandaoni kujua kinachoendelea nchini, na kushiriki mijadala mbalimbali online...
Hivyo basi,
Usiku wa leo pia nitaset timming kujua ni muda gani hasa wanawasha data kwa asubuhi...
Naona huu UZIMAJI WA DATA! Unafanywa kimyakimya na MAMLAKA...!,KAMA MAZOEZI! YA KUELEKEA KILELE! SIKU YENYEWE YA UZIMAJI RASMI WA DATA NCHI NZIMA!.
Kwa kushirikiana
na mitandao ya simu (either kwa kupenda-Hiyari! ama kwa LAZIMA!) Na ni wazi ya kuwa TOTTALY hii mitandao IMEKWISHA-FUNGWA MIDOMO/MIKONO NA WATAWALA!...
(Sijajua kama uzimaji huu wa DATA TU ni kwa mikoa yote? Ama ni Mkoa huu niliopo ndani ya kanda ya ziwa).... NDIO UMECHAGULIWA KAMA MKOA WA MAJARIBIO YA HILI ZOEZI LIJALO LA UZIMAJI NCHI NZIMA..!.
Mitandao haiongei chochote juu ya athari ya uwekezaji wao, wala wala athari kwa jinsi sisi walaji wao wa mwisho tunavyopata hasara kwenye mabando tunayonunua, kwa maana yana ukomo wa muda, tunaoibiwa ni sisi walaji wao wa mwisho!
Haiwezekani kwa sasa mabando tunayotozwa/kulipia kwa masaa 24, tunayatumia kwa masaa 12... na mitandao ya simu iko kimya tu!
Naanza ku-connect dots... kwa haya yanayoendelea... NDIO SABABU KUU YA STARLINK INTERNET chini ya SpaceX ya Elon Musk... KUNYIMWA KIBALI CHA KU-OPERATE HAPA NCHINI!
TCRA Tanzania acheni huu upuuzi! Wa kutumika kama Toilet paper! Kwa watawala.