Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Moniccca achana na marumbano mama hutawezana na watu wa mitandaoni fanya yako mbona bado asbh sana, Ina maana huna chakufanya mpa ukimbilie mtandaoni? Plz respect yourself that is too much
Invisible tunaomba tuangalizie hizi id ya Beatrice 7 na Monicca then ukikuta sio id ya mtu mmoja nipe ban ya siku 3.kiroho safiii
 
Jamani emu muacheni z
inatosha sasa atakuwa amewaelewa
 
.... UTAJUTA KWANINI UMEWEKA UHARISHO HUUU😛😛😛🙄🙄
 
Jamani emu muacheni z
inatosha sasa atakuwa amewaelewa
ningemjua huyo bwana wake ningemwambia apitie hapa afu ajiridhishe kama amefanya chaguo sahihi au lah!! ANABAHATI KWELI!!
 
Hahahahahaaaa acha tumfunze AMEKURUPUKA asavali ya wastara siku88
YEYE SIKU 4!!!!!!! Loooooohh!!!!
Utanifunza Mimi utaweza? Mi namuona kama mbw..aa asiye na mwenyewe kutwa majalala
 
[quote uid=339168 name="beatrice7" post=16019165]Moniccca achana na marumbano mama hutawezana na watu wa mitandaoni fanya yako mbona bado asbh sana, Ina maana huna chakufanya mpa ukimbilie mtandaoni? Plz respect yourself that is too much[/QUOTE]<br />Invisible tunaomba tuangalizie hizi id ya Beatrice 7 na Monicca then ukikuta sio id ya mtu mmoja nipe ban ya siku 3.kiroho safiii
 
Moniccca achana na marumbano mama hutawezana na watu wa mitandaoni fanya yako mbona bado asbh sana, Ina maana huna chakufanya mpa ukimbilie mtandaoni? Plz respect yourself that is too much
Mkuu hawezi huyu kutulia ni shida nashangaa hata yule aliyeeleza kuwa anamfahamu na ni mpolw
 
Hahahaha! Umenichekesha sana lkn kumbuka zama za utandawazi hizi..pole pale nilipokuaibisha

Utandawazi unahusiana vipi na kusema mambo binafsi ya ndani? Kama utandawazi upo hivyo mbona hutaki kuweka picha ya harusi yako kama ambavyo member mmoja ameomba? Pia hujajibu swali la mikatabafeki akiuliza kama ulimkuta mumeo huyo bikra na mimi nikitaka kujua status zenu kama nyote mlikuwa bikra au nani kati yenu alikuwa bikra? Nasubiri majibu ya utandawazi kutoka kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…