Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huko kwenu hakuna wastaarabu mnakuja kuomba ustaarabu humu kwetu jf...!Ninamjua moniccca vizuri nimesoma nae St Francis na baadae ifm..ni mtu mwenye nidhan sana watakuwa wamemkoroga ndiyo maana amewajibu hivyo..wengi waliomba mrejesho na yeye ndivyo alivyofanya sasa mashambulizi yanatoka wapi? Ange kaa kimya wasingenyamaza wangemdai mrejesho! Acheni hizo bana kuweni wastaarabu msitafute undani wa mtu.
Isitoshe hapa tunaojuana ni wachache sana.
Wewe ni taila kweli. Kama ulijua humu ni wanywa gongo na viroba nani alikulazimisha upost ujinga wako kwa wanywa gongo na viroba?Kawaida shoga si unajua tena humu wengi wanywa gongo na viroba
Haaa nimekusoma kuwa wwe mwanamke kwanza unamajivuno yakizamani na kishamba kweli. Et mimi kulala na njaa nimeshavuka kitambo.... una bwbwaja hta hujifikirii.. nani dunia hii kavuka matatizo....nani dunia hii anajua kesho itakuaje..uyo mwanaume namuhurumia ameokota limao kwenye mchungwa.Huko kwenye kulala na njaa mi nilishavuka kitambo..namshukuru Mungu kwa kweli labda useme lingine kama unalo plz
Sio kila mwanaume anaye kuPM ujisifu kuwa alikuwa anakupenda wengne team mafidi wataka dudu 2 waendezao.Siyo bure wengi wanao shambulia hapa walinitaka PM nikakataa na imani yao kubwa ilikuwa mume wangu angeshindwa game wape chance sasa wameona kaweza ndo hasira zinaishia kwangu but wamebugi vibaya mim mwenyewe comandoo
Si umeisha mfanya zoba mpaka akakuoa. Wajanja si walitoka nduki kitambooo mbna!!!Yaani wakati naandika haya na yeye alikuwepo na aliona..Ila umbea wenu sasa balaa mpaka mipovu inawatoka
MchaneeeeeeeHalaf huyu kama na mjua vile; Je ni mchanee!? Nauliza tena ni mchaneee?
sio wa dar?Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
ukweli,uwazi na utandawaziHahahaha! Umenichekesha sana lkn kumbuka zama za utandawazi hizi..pole pale nilipokuaibisha
wahenga walisema'mficha maradhi kifo humfichua' mwache amwagike ili ashauriweHaya mambo huwa ni siri ya chumbani,unaridhishwa au huridhishwi ilitakiwa iwe ni siri yako ya moyoni,ilitosha sana kumuomba radhi mumeo kwa hayo uliyomdhania mkiwa wawili chumbani,ndiyo maana hayo mambo yanaitwa "UNYUMBA" hayatakiwi kuvuka kizingiti cha mlango,japo tunatumia hidden IDs,hutakiwi kutuambia kila kitu cha chumbani kwenu. Asante.
inaonekana ulishawahi kufanya kazi kwenye kitengo cha ushauri nasaha wewe,moniccca asante kwa mrejesho lakini bado ni mapema sana sana
Kuna mengi yanakuja jiandae
-mihemko na furaha za ndoa vitakapoisha
-ndugu watakaokuja kuwatembelea
-tabia zenu zilozofichika zitakapoanza kuonekana kwakuwa sasa mko pamoja kila siku kitanda kile kile
-kipindi cha mpito cha kuishiwa
-kipindi cha mimba
-kipindi cha kulea
-migogoro hasa itakayoletwa na ushiriki mitandaoni
-mmoja wenu kumchoka mwenzake kwa namna fulani
Vikipita hivi vipindi salama fanya tathmini ya ndoa sasa
All in all nawaombea sana na upunguze kwa kiwango kikubwa haya mambo kuyaleta mitandaoni
Siyo kweli huyo ni mcharuko mpole hawezi kuwa hivyoNinamjua moniccca vizuri nimesoma nae St Francis na baadae ifm..ni mtu mwenye nidhan sana watakuwa wamemkoroga ndiyo maana amewajibu hivyo..wengi waliomba mrejesho na yeye ndivyo alivyofanya sasa mashambulizi yanatoka wapi? Ange kaa kimya wasingenyamaza wangemdai mrejesho! Acheni hizo bana kuweni wastaarabu msitafute undani wa mtu.
Isitoshe hapa tunaojuana ni wachache sana.