Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Haaaa jamani nilimuone huruma mmemshambulia maskini..
Mmmm
Siyo bure wengi wanao shambulia hapa walinitaka PM nikakataa na imani yao kubwa ilikuwa mume wangu angeshindwa game wape chance sasa wameona kaweza ndo hasira zinaishia kwangu but wamebugi vibaya mim mwenyewe comandoo
 
Had kichefuchefu,aibu naona mimi,hizo ndo ndoa za fashion,,ya ndani yanakua ya nje na ya nje yanakua ya ndani
Utaijuaje ndoa wakati wewe mwenyewe hujaolewa? Hicho kichefuchefu ni mimba changa isiyo namwenyewe
 
Ila mimi naona sio jambo zuri kutoa siri za ndani ya ndoa. Fikiria kama mume wako akipita humu halafu akakuta umeanika ya ndani atajisikiaje, tena na avatar yako inaonekana kabisa daah
Yaani wakati naandika haya na yeye alikuwepo na aliona..Ila umbea wenu sasa balaa mpaka mipovu inawatoka
 
Nimefolu ini lavu na wewe Vivac

Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,

Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.
 
Monicca..
Wewe Ni Jembe..
Kutunza bikra/nyama hadi majuzii/siku nne kabla ya kuolewa..

Hili swali Ujalijibu..
Je jamaa alikukuta Sealed..!!?!
Nikinukuu aya yako ya #3
 
Hbr zenu wanajamii wenzangu.

Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.

Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..

Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.

Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.

Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.

Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..

Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.

Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.

Karibu kama kuna mwenye lolote.
mke wa mtu ya ndan unayaweka jf wamekutolea mahar hawa
 
Siyo bure wengi wanao shambulia hapa walinitaka PM nikakataa na imani yao kubwa ilikuwa mume wangu angeshindwa game wape chance sasa wameona kaweza ndo hasira zinaishia kwangu but wamebugi vibaya mim mwenyewe comandoo

Hahaha...kumbe🙄
 
moniccca cool down my dear... Sio vizuri kuendelea na haya majibizano humu. We potezea tu
 
moniccca cool down my dear... Sio vizuri kuendelea na haya majibizano humu. We potezea tu
Ninamjua moniccca vizuri nimesoma nae St Francis na baadae ifm..ni mtu mwenye nidhan sana watakuwa wamemkoroga ndiyo maana amewajibu hivyo..wengi waliomba mrejesho na yeye ndivyo alivyofanya sasa mashambulizi yanatoka wapi? Ange kaa kimya wasingenyamaza wangemdai mrejesho! Acheni hizo bana kuweni wastaarabu msitafute undani wa mtu.
Isitoshe hapa tunaojuana ni wachache sana.
 
Bity za siku mamy ? Nimefurahi kukusikia..
 
Back
Top Bottom