cognition
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 1,287
- 1,391
wala hata msimlaumu mini alileta Uzi huu Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo? akiuliza kama unaweza kuwa na mchumba msifanye sex hadi ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tahadhari kwake asijekutwa na kitu kama ileHahaha, stori ilikuwa ya uongo ile
teh teh!Siku nyingine usiseme "nachukua nafasi hii"
Unapaswa kusema "Natumia nafasi hii"
Nafasi ni yako hivyo unaitumia. (Unaichukua unaipeleka wapi)
Ndiyo, napajua, ni Dar!Inaonekana unapajua kwetu vzuri
Picha please!Alfu Lela U Lela
Pole sana.Ndiyo, napajua, ni Dar!
Alfu Lela U Lela
Asante sana patience 123, nimekuelewa na nisamehe.Haya mambo huwa ni siri ya chumbani,unaridhishwa au huridhishwi ilitakiwa iwe ni siri yako ya moyoni,ilitosha sana kumuomba radhi mumeo kwa hayo uliyomdhania mkiwa wawili chumbani,ndiyo maana hayo mambo yanaitwa "UNYUMBA" hayatakiwi kuvuka kizingiti cha mlango,japo tunatumia hidden IDs,hutakiwi kutuambia kila kitu cha chumbani kwenu. Asante.
Ukisha mtongoza ndo utajua kama utatukanwa au utapongezwa, Ila wanaume wa jf wengi wenu mnautaahilaMkuu mtoto huyu mapepe karusha dongo kuwa ulishawahi mtongoza akakutoa baru. Kuishi na huyu ni kazi kweli kweli labda uwe Bushoke. Sijui nitatukanwa na mimi maana nina mpango wa kukatongoza PM!
Unahakika au ndo sizitaki mbichi hizi kumbe si level yakoKama huyu mwanamke kweli kaolewa basi hakuwa na sifa za kuolewa ndio maana anapablish kila hatua ya ndoa yake, either alikuwa kicheche sana au umri wa kuolewa ulikuwa umeshapita kwa hiyo anakuwa haminiamini km kaolewa.
Mtakesha sana mkunijadiri mie ndo nshaolewa hivyoAnajifagilia tu huyo sinaga mtindo wa kumwaga sera kwa wanaojiita madem wa jf huenda hata akawa dume, labda msomeshe tu maana anaonekana anatafuta bwana huyo, usitishike na kurusha kwake mateke mlainishe usikute anakamlika kirahisi tu.
Thanks brother, thanks allot.HappY Birthday mikatabafeki
Mpumba..vuu wewe umekimbia jandoni ndo maana mpka Leo unatabia za kike we endelea kugawa tigo kwa wanaume wenzioNa usisahau kuitupa simu yako ya zamani au futa mijimambo na siri zetu zooote asione your hubby bila Kusahau picha za MPINGO nilizokutumia na mimi nafuta picha za KYUMA chako ulizonitumia sababu mme wako ni MKURYA.
Huwezi kuishi na mwanamke wa staili vipi alikula 0713Yako wapi maadili ya ndoa inaonekana wewe binti ukipata fursa ya kuongea na shoga zako utawaambia kila kitu mpaka jamaa akifika anakuwaje au anakupa mambo kwa staili zipi?utaibiwa na hiyo ndoa itakushinda .nakushauri usiwe na domo payu kwenye mambo yahusuyo ndoa yako.
Asante but sichaguliwi cha kufanya chchte ntakachojisikia kukitumbukiza humy sitassita kufanya hivyo kwani ninajua nilifanyalo nyie wa vijijini endeleeni kutunza siri hata kama mkidaiwa tigo nakutoe tunze tu siri mwisho wa siku mtajaza Ccbrt kuomba matibabuHongera mama ila nadhani ni muda wa kuacha kuanika maisha yako ya ndoa humu........umepata mume kutoka humu ni vyema ila anza kuweka mipaka sasa....ukipata mimba/ukijifungua utakuja kusema tena humu???? Ol the best mamito
I can't believe thisare you serious umeolewa? hujisikii aibu kueleza humu habari za mumeo tena wa ndoa changa humu? umetuaibisha! siku ukilala njaa utamtangaza pia. hebu acha hizo tabia mambo ya mmeo ni yenu wawlili. muone