Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Yani mimi ningekuzabua mabanzi ya kutosha ingawa ni siku ya nne.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioKwani hapa ni hadharani ?
Dah ila jamaa ana bahti. Yani wanawake wa ckuiz? !!!!!!!!!!!!!!!!Yani wewe ndye anaomba ngono sio mwanaume duuuh. Dada wewe ni hatar kama sio kimeo.Uje hapa baada ya miaka 2 kutoa mrejesho!
Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
Atakuwa wa hukohuko kwenu DarHv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,
Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.
PoaVivac mambo vipi
Mie Wa Kanda maalumu Si Wa dar.Atakuwa wa hukohuko kwenu Dar
nawe bwana, unatuchosha!Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
Vivac ulichokisema ukweli, hayo mambo ya ndani huwezi kuja kuyamwaga huku barazaniHv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????

Sawa