Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimeo Yule aliyeshindwa kukulea ktkt maadiri memaa..kakojoe ukalale plz pombe zikikuisha uje upyaaDah ila jamaa ana bahti. Yani wanawake wa ckuiz? !!!!!!!!!!!!!!!!Yani wewe ndye anaomba ngono sio mwanaume duuuh. Dada wewe ni hatar kama sio kimeo.
Vipi 0713 alipata?Mtakesha sana mkunijadiri mie ndo nshaolewa hivyo
Usipoteze muda,kuwa na mashaka na mtu asiye kuhusu mind your own businessMoniccca nnamashaka na wewe uwenda ukawa jipu kwa mmeo maana ushaanza kuyatoa ya ndani angali ni siku ya nne tu basi mmeo ana kazi kubwa sana ya kukutumbua
Wewe hujaolewa ungekuwa umeolewa usingekuwa uanachat mpaka muda huuKimeo Yule aliyeshindwa kukulea ktkt maadiri memaa..kakojoe ukalale plz pombe zikikuisha uje upyaa
Tatizo shule zenu ndogoDuh ndiyo tunasema utandawazi kwamba kila jambo linawekwa wazi.
Nina mashaka sana na wewe Monica kama ni kweli umeingia kwenye kwa muda wa siku nne unaeleza yote yaliyojiri chumbani
Utakuwa ni jipu kubwa ambalo litatumbuliwa muda si mrefu na kama ni kweli wakati unaandika hayo na mmeo yupo na anayakubali.
Wote mtakuwa na matatizo ya mt indio wa u bongo
Moniccca Moniccca, Umekwepa swali kwenye thread iliyopita (Does Size Matter). Nilithani ungedokezea hapa kidogo.Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..
Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.
Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.
Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.
Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..
Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.
Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.
Karibu kama kuna mwenye lolote.
Haya nimekuelewa bintiYako wapi maadili ya ndoa inaonekana wewe binti ukipata fursa ya kuongea na shoga zako utawaambia kila kitu mpaka jamaa akifika anakuwaje au anakupa mambo kwa staili zipi?utaibiwa na hiyo ndoa itakushinda .nakushauri usiwe na domo payu kwenye mambo yahusuyo ndoa yako.
Kachambe kwanza unanuka mb..oo mwanamke gani uso soni duhTatizo shule zenu ndogo
Hahahahaha, afadhari kidogo nimechekaNdio monicca yaani siku 4 tu umefikishwa kibo [emoji12] wakati wengine wanaanza "shake b4 use" miaka 5 hadi ndoa wanaishia moshi mjini tu wanabaki kuuona kibo na mawenzi kwa darubidi au siku isiyokuwa mawingu [emoji28] hadi menopause [emoji30]
are you serious umeolewa? hujisikii aibu kueleza humu habari za mumeo tena wa ndoa changa humu? umetuaibisha! siku ukilala njaa utamtangaza pia. hebu acha hizo tabia mambo ya mmeo ni yenu wawlili. muone