Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Sasa mambo yenu ya kitandani ndyo unayafanyia matangazo. Yanni kama ungekuwa umeolewa na mimi tyari ni kasoro kwangu maana mwanamke unakiherere cha hali ya juu.
We huoni kuwa ni fahari!
 
Dah ila jamaa ana bahti. Yani wanawake wa ckuiz? !!!!!!!!!!!!!!!!Yani wewe ndye anaomba ngono sio mwanaume duuuh. Dada wewe ni hatar kama sio kimeo.
Kimeo Yule aliyeshindwa kukulea ktkt maadiri memaa..kakojoe ukalale plz pombe zikikuisha uje upyaa
 
Alafu unatoa picha kuwa umeangaika sana kuolewa. Ni dhahil kuwa midume mingi imepitia ukaishia kusikilizia ndoa barabarani misafara ikipita ya haruc. Pole ila unaudh
Haunihusu
 
Duh ndiyo tunasema utandawazi kwamba kila jambo linawekwa wazi.
Nina mashaka sana na wewe Monica kama ni kweli umeingia kwenye kwa muda wa siku nne unaeleza yote yaliyojiri chumbani

Utakuwa ni jipu kubwa ambalo litatumbuliwa muda si mrefu na kama ni kweli wakati unaandika hayo na mmeo yupo na anayakubali.
Wote mtakuwa na matatizo ya mt indio wa u bongo
Tatizo shule zenu ndogo
 
Hbr zenu wanajamii wenzangu.

Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.

Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..

Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.

Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.

Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.

Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..

Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.

Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.

Karibu kama kuna mwenye lolote.
Moniccca Moniccca, Umekwepa swali kwenye thread iliyopita (Does Size Matter). Nilithani ungedokezea hapa kidogo.
I am very happy for you, Ngojea na mm niangalia usawa kwani Ukapera ni mgumu sana.
 
Yako wapi maadili ya ndoa inaonekana wewe binti ukipata fursa ya kuongea na shoga zako utawaambia kila kitu mpaka jamaa akifika anakuwaje au anakupa mambo kwa staili zipi?utaibiwa na hiyo ndoa itakushinda .nakushauri usiwe na domo payu kwenye mambo yahusuyo ndoa yako.
Haya nimekuelewa binti
 
Leo siku ya 4 katika ndoa unapata wapi muda wa kuingia kwenye mitandao, tulia na mwenzi wako ni mapema mno kwako kuanza kupost vitu kwenye hii mitandao ya kijamii.
At least umeongea point asante kwa ushauri
 
Ndio monicca yaani siku 4 tu umefikishwa kibo [emoji12] wakati wengine wanaanza "shake b4 use" miaka 5 hadi ndoa wanaishia moshi mjini tu wanabaki kuuona kibo na mawenzi kwa darubidi au siku isiyokuwa mawingu [emoji28] hadi menopause [emoji30]
Hahahahaha, afadhari kidogo nimecheka
 
are you serious umeolewa? hujisikii aibu kueleza humu habari za mumeo tena wa ndoa changa humu? umetuaibisha! siku ukilala njaa utamtangaza pia. hebu acha hizo tabia mambo ya mmeo ni yenu wawlili. muone

Huko kwenye kulala na njaa mi nilishavuka kitambo..namshukuru Mungu kwa kweli labda useme lingine kama unalo plz
 
Back
Top Bottom