Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Mimi nahisi huyu anatuchora,muda mwingi yupo online kujibizana na wanaomshauri na kumkosoa,huyu mume anakuwa naye saa ngapi?ni kama dume flani hivi lilikuja majuzi kati na thread kibao likijidai kuwa ni jike, mijitu mingine ni shida ndugu yangu.
 
Huna akili au yawezekana ulimbukeni wa ndoa unakusumbua
MKUU yani hayo yote anayotapika humu yanasomeka wacha atapike tu MATAPISHI ATAKUJA JAMAA YAKE KUSAFISHA. si alimpata humuhumu jf basi atamalizana nae humuhumu JF
 

Unahesabuuu???

leo ya NGAPIII????🙄
 
Na usisahau kuwa baada ya kumpata Mr right wake alikuja jukwaani kulalamika kuwa Mr right hataki kumuonjesha "TAMU", Kwa tabia za huyu dada ndio maana alikosa wa kumuoa huko mitaani akaona aje jf ambako hawamjui. Naona Mr right kauvaa mkenge.
 
Kila jambo na majira yakee na nyakati zake.
 
aaaaaah jamani MONICCA weeeee njooo bana .. HUTANIWIIIIIIII LOOOH!!!!🙄
 
Usisahau pia kutuanzishia sredi za MUME WANGU KAMPA MIMBA HOUSEGIRL, MUME WANGU AMENIOMBA 0714......etc, etc
 
Utanifunza Mimi utaweza? Mi namuona kama mbw..aa asiye na mwenyewe kutwa majalala

Monicca it seems ur very beautfull
Ila mi cha kukuambia juz cool down ndo umetoka kuolewa sasa ukianza kujibizana na wa2 ovyoovyo si vzr
Juz relax
 
Ndio maana siku hizi sikuoni Sinza, kumbe umeolewa eeh, ok poa!
 
Bado siamini kama ni ndoa ya kweli au ni mwendelezo wa tamthilia;
Hivi ni busara kuanika mambo ya chumbani!
Mume anajiskia je kuona mke aleta mambo ya chumbani kijiweni!
Ikiwa unaleta mrejesho wa mazuri na akikosea ci utaleta pia!
Kwanini ya chumbani yasibakie humo!
Eti ulitaka kuonja kabla ukanyimwa au yeye ndo alitaka!
Mme pima afya kweli au umemwingiza chaka mzee mwenzangu!
...ipo ciku ukiwa unapewa utaripoti live kuwa jamani eee ndo twapeana..
Duuh hongera kwa kuwa muwazi
 
Wewe ni mtoto mdongo Ngoma za wakubwa huziwezi..emu wahi shule huku pata kuchelewesha. Isitoshe ya kulogwa au kujitangazia wewe hayakuhusu kbsa..nakusihisi nenda kasome wenzio tumeshasoma natunamaisha yetu humu tuna changamshaa jukwaa tu.
 
yani me ningependa huyu mume GEBWE angepita hapa ili ajionee kinachojiri juu ya hii muke yake
Kumbe nawewe unavijitabia vya kike? Ndiyo maana unamdomo mrefu halafu ukiongea as if lianguke chini, puuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…