Leo ni siku ya Prof. Kigoma Ali Malima (Julai 16)

alifanya ufisadi wa kutisha pale wizara ya fedha, alipolazimishwa kujiuzulu Jakaya Kikwete toka Msoga, alipewa nafasi ya kuwa waziri na kazi yake ya kwanza ilikua kugundua ni Kiasi gani Malima alifuja.
Uchunguzi inasemekana ulibaini maelfu ya pesa yaliibwa toka Hazina, na kupelekwa Ng'ambo....!
Alikufa wakati serikali ya Tanzania ilikuwa ikifunga akaunti zake ughaibuni, na baada ya Kighoma kugundua kuwa fedha zimekaushwa kwenye baadhi ya akaunti zake nono ndipo Hyper Blood Pressure ikachukua maisha yake.

mafankuro kama nyie ndio mnaotutamanisha cku moja tuchapane kidini sgabavet minyana
 
quote_icon.png
By nguvumali

nani kaongea udini , wacha mawazo ya kiwendawazimuu , Mbulumundu weeeeh
 
Habari ndg wanajamii.nina hamu sana kujua historia ya mtu huyu kama ambavyo nimekuwa nikiwasikia baadhi ya watu wakimsifu sana bwana huyu.tafadhali kwa yeyote mwenye full information anijuze.
 
Kwa machache ninayojua juu ya Prof Kighoma Ally Malima ni kwamba, huyu alikuwa ni miongoni mwa wanazuoni(wasomi) wachache wa mwanzo wa nchi hii ambao walilitumikia taifa hili kuanzia awamu ya kwanza mpaka ya pili ya Tz, chini ya uongozi wa TANU enzi zile mpaka CCM ya sasa. Pia inasemekana ni miongoni mwa waanzilishi wa TANU wkt wa kudai uhuru, akiwa bado kijana mdogo sana. Prof Malima aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ktk nchi hii, ikiwemo uwaziri. Moja ya wizara alizowahi kushika ni wizara ya fedha na elimu ambayo moja ktk mambo makubwa aliyoyafanya ni kubadilisha mfumo wa kuandika majina ya watahiniwa ktk mitihani ya kitaifa na kuandika namba,mfano darasa la saba. Zamani ktk mtihani ilikuwa mtu unaandika jina lako, Mfano Kibanga Kampiga Mkoloni. Huu mfumo inasemekana ulikuwa mbaya kwa sababu kulikuwa na malalamiko mengi ya watu kupendelewa wakafaulu kwa sababu ya majina yao na wenye haki kunyimwa. Ndo waziri Malima akabuni mfumo wa namba, mfumo ambao tupo nao mpaka leo.
Prof Malima alijiuzulu serikalini na kuanzisha chama kikiitwa NRA( National Reconstruction Allience). Alijitoa CCM akiwa Tabora. Nakumbuka siku hiyo mimi nilihudhuria mkutano huo alipokuwa anajitoa CCM.Ilikuwa mwaka 1993 kama sijakosea sana, kama nimekosea mtanisahihisha. kipindi hicho mimi nilikuwa mdogo, kidato cha pili Tabora Boys. Alisema alijitoa CCM na kuanzisha NRA kwa kuwa ndani ya ccm alikuwa hapendwi na kushindwa kuendelea nacho. Pia alisema alienda kujitoa ccm akiwa TBR kwa sababu historia yake ya siasa ilianzia TBR wkt akijiunga TANU kupigania uhuru.
Lakini kabla chama chake kukua na kuwa maarufu, alifariki ghafla akiwa Uingireza kwa sababu zisizojulikana. Inasemekana alipitia UK akitokea Makka kwenye hijja ndogo (Umrah).
Huyu naibu waziri wa nishati ndg Malima nasikia ni mwanae.

Hayo ndo machache ninayokumbuka juu ya Prof K.A Malima ndg yangu sijui kama nitakuwa nimekujibu walau kiasi.
 
Mungu alaze mahali pema peponi
 
Prof.malima aligusa mfumo kristo ndiyo chanzo cha kuchukiwa ccm na kuamua kujitoa na kuingia nra,ccm kumuuwa
 
tayari umeshakimbilia udini. Huo ndo utahiri WaTanzania wengi. Sijui nani kawaloga.
 
Mungu alaze mahali pema peponi

alikuwa recognised among best mathematican na ni kweli mara zote ccm walikuwa wanapiga kura ya kutomtaka nec nyerere alikuwa akitumia kura ya veto kumrudishsa
 
Kwa machache ninayojua juu ya Prof Kighoma Ally Malima ni kwamba, huyu alikuwa ni miongoni mwa wanazuoni(wasomi) wachache wa mwanzo wa nchi hii ambao walilitumikia taifa hili kuanzia awamu ya kwanza mpaka ya pili ya Tz, chini ya uongozi wa TANU enzi zile mpaka CCM ya sasa. Pia inasemekana ni miongoni mwa waanzilishi wa TANU wkt wa kudai uhuru, akiwa bado kijana mdogo sana. Prof Malima aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ktk nchi hii, ikiwemo uwaziri. Moja ya wizara alizowahi kushika ni wizara ya fedha na elimu ambayo moja ktk mambo makubwa aliyoyafanya ni kubadilisha mfumo wa kuandika majina ya watahiniwa ktk mitihani ya kitaifa na kuandika namba,mfano darasa la saba. Zamani ktk mtihani ilikuwa mtu unaandika jina lako, Mfano Kibanga Kampiga Mkoloni. Huu mfumo inasemekana ulikuwa mbaya kwa sababu kulikuwa na malalamiko mengi ya watu kupendelewa wakafaulu kwa sababu ya majina yao na wenye haki kunyimwa. Ndo waziri Malima akabuni mfumo wa namba, mfumo ambao tupo nao mpaka leo.
Prof Malima alijiuzulu serikalini na kuanzisha chama kikiitwa NRA( National Reconstruction Allience). Alijitoa CCM akiwa Tabora. Nakumbuka siku hiyo mimi nilihudhuria mkutano huo alipokuwa anajitoa CCM.Ilikuwa mwaka 1993 kama sijakosea sana, kama nimekosea mtanisahihisha. kipindi hicho mimi nilikuwa mdogo, kidato cha pili Tabora Boys. Alisema alijitoa CCM na kuanzisha NRA kwa kuwa ndani ya ccm alikuwa hapendwi na kushindwa kuendelea nacho. Pia alisema alienda kujitoa ccm akiwa TBR kwa sababu historia yake ya siasa ilianzia TBR wkt akijiunga TANU kupigania uhuru.
Lakini kabla chama chake kukua na kuwa maarufu, alifariki ghafla akiwa Uingireza kwa sababu zisizojulikana. Inasemekana alipitia UK akitokea Makka kwenye hijja ndogo (Umrah).
Huyu naibu waziri wa nishati ndg Malima nasikia ni mwanae.

Hayo ndo machache ninayokumbuka juu ya Prof K.A Malima ndg yangu sijui kama nitakuwa nimekujibu walau kiasi.

nashukuru kwa hayo machache uliyo nijuza.usisite kuongeza iwapo utakumbuka mengine kuhusu kiongozi huyu aliyesahaulika ktk history ya Tz
 
Muda wa kusali ukifika alikuwa akitandika msala wake ofisini na kusali. Wakamwambia amejenga msikiti ofisini
 
Mtoto wake ni yule waziri aliyekutwa na mabunduki huko moro•
 
nashukuru kwa hayo machache uliyo nijuza.usisite kuongeza iwapo utakumbuka mengine kuhusu kiongozi huyu aliyesahaulika ktk history ya Tz

Nakumbuka pia katika hotuba yake wkt anajitoa, kwa masikio yangu huku nikimuangalia, alisema kwamba amejitoa ccm/serikalini kwa sababu hapendwi na amekuwa akiwindwa sana na kutafutwa kwa malengo mabaya ya kuhatarisha maisha yake. Kwa vile nilikuwa bado sijaweza kuchambua mambo kwa kina sikuweza kujua walokuwa wakimtafuta ni akina nani na kwa nini. Na kwa kweli haikuchukua muda mrefu alifia UK katika chumba alichofikia akitokea Makka kuhiji(hija ndogo).
 
Kwa machache ninayojua juu ya Prof Kighoma Ally Malima ni kwamba, huyu alikuwa ni miongoni mwa wanazuoni(wasomi) wachache wa mwanzo wa nchi hii ambao walilitumikia taifa hili kuanzia awamu ya kwanza mpaka ya pili ya Tz, chini ya uongozi wa TANU enzi zile mpaka CCM ya sasa. Pia inasemekana ni miongoni mwa waanzilishi wa TANU wkt wa kudai uhuru, akiwa bado kijana mdogo sana. Prof Malima aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ktk nchi hii, ikiwemo uwaziri. Moja ya wizara alizowahi kushika ni wizara ya fedha na elimu ambayo moja ktk mambo makubwa aliyoyafanya ni kubadilisha mfumo wa kuandika majina ya watahiniwa ktk mitihani ya kitaifa na kuandika namba,mfano darasa la saba. Zamani ktk mtihani ilikuwa mtu unaandika jina lako, Mfano Kibanga Kampiga Mkoloni. Huu mfumo inasemekana ulikuwa mbaya kwa sababu kulikuwa na malalamiko mengi ya watu kupendelewa wakafaulu kwa sababu ya majina yao na wenye haki kunyimwa. Ndo waziri Malima akabuni mfumo wa namba, mfumo ambao tupo nao mpaka leo.
Prof Malima alijiuzulu serikalini na kuanzisha chama kikiitwa NRA( National Reconstruction Allience). Alijitoa CCM akiwa Tabora. Nakumbuka siku hiyo mimi nilihudhuria mkutano huo alipokuwa anajitoa CCM.Ilikuwa mwaka 1993 kama sijakosea sana, kama nimekosea mtanisahihisha. kipindi hicho mimi nilikuwa mdogo, kidato cha pili Tabora Boys. Alisema alijitoa CCM na kuanzisha NRA kwa kuwa ndani ya ccm alikuwa hapendwi na kushindwa kuendelea nacho. Pia alisema alienda kujitoa ccm akiwa TBR kwa sababu historia yake ya siasa ilianzia TBR wkt akijiunga TANU kupigania uhuru.
Lakini kabla chama chake kukua na kuwa maarufu, alifariki ghafla akiwa Uingireza kwa sababu zisizojulikana. Inasemekana alipitia UK akitokea Makka kwenye hijja ndogo (Umrah).
Huyu naibu waziri wa nishati ndg Malima nasikia ni mwanae.

Hayo ndo machache ninayokumbuka juu ya Prof K.A Malima ndg yangu sijui kama nitakuwa nimekujibu walau kiasi.
yes mkuu nami naikumbuka 1993 pale tabora karibu na uyui sec. alihutubia na kujitoa ccm rasmi , tetesi za kushangaza ambazo siyo rasmi inasadikika mkuu wa kaya wa sasa wakati huo waziri wa fedha, ali seize account ya mzee kighoma huko uk takribani billion 49 za enzi hizo, mzee akakuta account empty , ccm ni balaa
 
Hata mimi nilisikia hivyo kuwa baada ya kukuta uchache wake umetwaliwa alikuwa kauifadhi London a,mbapo hawana siri badala ya Uswisi ndipo alipopatwa na ugonjwa wa MOYO na kufariki, PIa watu walisema kuwa walofanya hivyo ni UWT na siyo Baba Ritz. Midfield anakosea kusema alianzisha NRA hiki chama kilikuwepo bali yeye alijiunga na kupewa uenyekiti moja kwa moja kama ilivyokuwa kwa Mrema.
 
yaa ni kweli si unajua mambo ya historia tena 1993 ni mbali kidogo , hata mimi sikumbuki kama alianzisha au alijiunga na NAREA(NRA),
 
Alifanya Mtihan wa Pre University akitokea Form Three pale Minaki baada ya Walimu wake kumuona ana Kipaj cha hesabu, Degree zake zote 3 kasomea vyuo bora zaid vya Uchumi, waliwah kusoma Pamoja na Andrew Chenge japo Koz tofauti Havard University!
 
Back
Top Bottom