Leo ni siku ya tatu jogoo wangu hawiki

Leo ni siku ya tatu jogoo wangu hawiki

Ukizishika Jordan wakati wa maumivu unazifeel zile mbegu au inakuwa kama unashika mifuko mitupu?
 
Je umejaribu kutafuta toto lakike ujaona jogoo hasimami?Au unavuta hisia tu?Pole sana kwa ulivyoelezea lazima upo na matatizo,lamsingi ona Daktari kama watu walivyokushauri
 
Je umejaribu kutafuta toto lakike ujaona jogoo hasimami?Au unavuta hisia tu?Pole sana kwa ulivyoelezea lazima upo na matatizo,lamsingi ona Daktari kama watu walivyokushauri
Mkuu nakwambia hamna kitu
 
Kama Jogoo la shamba limegoma kuwika mjini, mrudishe Kijijini alipopazoea.
 
Tatizo limeanza kwenye mikuyenge ya wakurya

Over.
IMG_20181203_125153_505.jpg
 
Hahahaaaa nacheka Kama mazuri, eti bwna mkubwa kalala fofofo

Kwahiyo kunjiginjigi ndiy basi tenaaaa mayooooo weeeeee![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
weeee cheka tu
 
Back
Top Bottom