Leo ni siku ya vitabu ulimwenguni

Leo ni siku ya vitabu ulimwenguni

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1

"The School Trip to Zanzibar"
Mwandishi Mohamed Said

Hiki kitabu kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar.

Kupitia kitabu hiki mwanafunzi atajifunza mengi katika maisha ya kila siku ya Wazanzibari na utamaduni wao.

20210423_194748.jpg

20210423_193253.jpg
 
LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1

"The School Trip to Zanzibar"
Mwandishi Mohamed Said

Hiki kitabu kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar.

Kupitia kitabu hiki mwanafunzi atajifunza mengi katika maisha ya kila siku ya Wazanzibari na utamaduni wao.

View attachment 1761753

View attachment 1761755
Safiii
 
Sijakisoma ila kwa hulka yako lazima umegusia mambo ya udini na mfumo tawala
 
Chuma cha Reli,
Unajua serikali ya Tanzania iko 20:80.

Hao ishirini ni Waislam waliobakia ni Wengine.

Unaridhia na utawala huu?
 
Sijakisoma ila kwa hulka yako lazima umegusia mambo ya udini na mfumo tawala
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mkuu kwamba mzee wangu said hawezi andika hata sentence moja bila kuelezea namna masheik wa kariakoo walivyo saidi hiyo safari ya zanzibar?
 
Shehe kwani Ustadhat Samia hawezi kubadilisha hili iwe 80 na wale 20?
John,
Mimi si sheikh kama wewe ulivyokuwa si padri.

Wala Rais Samia Suluhu Hassan alivyo si hivyo ulivyomtaja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mkuu kwamba mzee wangu said hawezi andika hata sentence moja bila kuelezea namna masheik wa kariakoo walivyo saidi hiyo safari ya zanzibar?
Mwana...
Ungekisoma basi kwanza kitabu halafu ueleze uliyoyakuta hapo ndipo tunaweza tukawa na mjadala.
 
Back
Top Bottom