Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
SafiiiLEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1
"The School Trip to Zanzibar"
Mwandishi Mohamed Said
Hiki kitabu kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar.
Kupitia kitabu hiki mwanafunzi atajifunza mengi katika maisha ya kila siku ya Wazanzibari na utamaduni wao.
View attachment 1761753
View attachment 1761755
Shehe kwani Ustadhat Samia hawezi kubadilisha hili iwe 80 na wale 20?Chuma cha Reli,
Unajua serikali ya Tanzania iko 20:80.
Hao ishirini ni Waislam waliobakia ni Wengine.
Unaridhia na utawala huu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mkuu kwamba mzee wangu said hawezi andika hata sentence moja bila kuelezea namna masheik wa kariakoo walivyo saidi hiyo safari ya zanzibar?Sijakisoma ila kwa hulka yako lazima umegusia mambo ya udini na mfumo tawala
John,Shehe kwani Ustadhat Samia hawezi kubadilisha hili iwe 80 na wale 20?
Mwana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mkuu kwamba mzee wangu said hawezi andika hata sentence moja bila kuelezea namna masheik wa kariakoo walivyo saidi hiyo safari ya zanzibar?
Muislamu kuzungumza kuhusu uislam wake ni udini?Sijakisoma ila kwa hulka yako lazima umegusia mambo ya udini na mfumo tawala
Jembe...Bei gani mkuu tuwanunulie watoto wetu
Asante mzee wangu, nitakifuata hapo EliteJembe...
Kitabu kinauzwa shs: 4,000.00.
Kinapatikana Elite Bookshop, Mbezi Samaki.