Hahaha!! Akhsante sana mkuu InnocenthezronHappy birthday mkuu... Angalizo ukifika miaka 35 hujajenga nyumba sahau kujenga take care
Hahahaha!! Kwa nini mkuu BonnyUmezaliwa january dah mna mioyo migumu sana watu wa january
Akhsante sana mkuu usserHappy birthday mheshimiwa
Akhsante sana mkuu SakayoHappy Birthday kaka, Mungu akupe haja ya moyo wako
Thanks a lot mkuu massae jrHappy b'day man long live n god blec u
Akhsante sana mkuu lisa007Happy birthday elly
Akhsante sana mkuu ringsonHappy birthday, Mungu akakupe kila hitaji la moyo wako.
Akhsante sana mkuu Bacary SuperiorHBD TO U UWE NA MAISHA MAREFU YENYE MAFANIKIO
Akhsante sana mkuu mkwatis*HONGERA KWA KUONGEZA SIKU ZA KUWEPO ULIMWENGUNI NA POLE KWA KUZIDI KUKARIBIA SIKU YAKO YA KIFO!
Akhsante sana mpendwa wangu jje's kwa maneno yako mazuri na yenye kutia moyo na kufariji piaEe Mungu wa mbinguni, mjalie mja wako haja zake sawasawa na neno lako. Umuongezee maisha marefu yenye furaha na aman. La zaid azidi kukutafuta wewe ili awe na aman kuu ndan ya nafsi yake. BWANA YESU nakuomba na nikiamin utatenda yote.
Akhsante sana mkuu Queen kanHB mkuu
Karibu mkuu.Akhsante sana mpendwa wangu jje's kwa maneno yako mazuri na yenye kutia moyo na kufariji pia
Akhsante sana mkuu LadyAJHappy birthday sweet Ely My in law
Akhsante sana mkuu Ivan ProsperHappy birthdate mkuu
Akhsante sana mkuu GodwishesHongera sana. Mungu akutangulie zaidi .