Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Ee Mungu wa mbinguni, mjalie mja wako haja zake sawasawa na neno lako. Umuongezee maisha marefu yenye furaha na aman. La zaid azidi kukutafuta wewe ili awe na aman kuu ndan ya nafsi yake. BWANA YESU nakuomba na nikiamin utatenda yote.
Akhsante sana mpendwa wangu jje's kwa maneno yako mazuri na yenye kutia moyo na kufariji pia
 
Back
Top Bottom