Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.



0012.gif

Hongera sana mkuu, leo ni siku yako furahia,
si lazima party kusherehekea, kuchukua mapumziko,
kufanya kitu senetor apendacho, etc yote hiyo ni sherehe
Mwenyeenzi Mungu akuzidishia miaka mingi zaidi na zaidi uendelee
kung'aa daima . Be blessed..


0083.gif
0060.gif
 
Happy birthday, Senetor Hope you have a blast....All day.
 
Asanteni sana wakuu,nimefarijika mno.
 
Happy birthday senator!.Mungu akubariki.
 
Hongera sana senetor kwa kutimiza huo umri,
Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha, amani na upendo tele.
 
Hapi besdei. Kumbe JF kuna viserengeti boyz? Nilifikiri wote huku tupo 30+
 
Kwanini umefulia?.....

Tafuta pesa mtoto wa kiume acha kulalamika...... Hustle!
Sema tafrija siyo muhimu ila ushakuwa mtu mzima sasa acha kulalamika mambo ya pesa.
 
HBD br....................u nat getting older,u getting better.
 
Back
Top Bottom