Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Hello peoples.
Leo ni tarehe 7/5.....
Ebhana siku kama ya leo miaka mingi iliopita nilizaliwa kijana mpole mimi kipenzi cha wengi[emoji1]...
Nachukua nafasi hii kumshukuru sana mama angu kwa kunilea kwa nguvu zote bila kuchoka na mateso yote aloyapata juu yangu....bless to my mother......
Pia namshukuru baba angu kwa kunilea mpka pale Mungu alipomjalia kufika na kuondoka.......Mungu amlaze mahali pema peponi.......
Am sure humu ndani tupo wengi sana tulozaliwa tarehe na mwez kama wa leo miaka kadhaa iliopiata.
Let's have happy and funny moments together kwa huu uzi.......
7/5.........you are all welcome and my God blesa u all
Happy birthday to us.