Leo ni tarehe ambayo mwanaharakati wa ukweli che Guevara alifika congo

Leo ni tarehe ambayo mwanaharakati wa ukweli che Guevara alifika congo

vonmadiwa

Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
89
Reaction score
11
Che Guevara alifika Congo kusaidia harkati za kupambana na ukoloni mambo Leo,alikaa kwa miezi 7 ,akagundua kuwa viongozi aloshirikiana Nao hawakuwa mwamko wa kisiasa hali iliopelekea che akaondoka zake,kuondoka kwa che kulipelekea 1975 Mobutu seseseko akachukua dola ambae alikuwa mshirika mkubwa WA marekani,karibuni wadau kwa nyongeza juu ya siku hii ya kukumbukwa
 
Mkuu! Enzi zake alikulikuwa akipambana na "ukoloni" Ukoloni mamboleo umekuja baada ya Ukoloni kuangushwa.
 
Guavera alilpambana na ukolon na si ukolon mamboleo uyu ndye alyeasisi Back to Afrika movement kwa diassapora wote dunian waliokuwa humiliated and oppressed
 
Pmj na hilo wazo lake lilipingwa vikal na dubous ambaye alitaka wabak America na wale matunda yao kwan negros ndo walioifanya Amerika kuwa Super power
 
Guavera alilpambana na ukolon na si ukolon mamboleo uyu ndye alyeasisi Back to Afrika movement kwa diassapora wote dunian waliokuwa humiliated and oppressed

che comandante amigo hakuanzisha back to african movement, jamani mbona neno lenyewe linajieleza hiyo ni harakati zilizoanzishwa na wamarekani weusi akina marcus garvey, booker t washington na dr w b dubious erenesto che guevara hakua ameshazaliwa hasta la victoria siempre,
 
Ahsanten ndugu zangu,tuendeleee kuelewashana,elimu muhimu sana hii
 
Pmj na hilo wazo lake lilipingwa vikal na dubous ambaye alitaka wabak America na wale matunda yao kwan negros ndo walioifanya Amerika kuwa Super power

che hana uhusiano na back to Africa movement na nikweli Ernesto che Guevara mwanamapinduzi mzaliwa Wa rosalio bueno saires alpambana na ukoloni mamboleo,alkuwa miongoni mwa watu sita waliompindua fulgensio Batista Kule cuba pamoja na Castro's.Zanzibar alienda akaja bongo baadae congo alipoona akin a Manila hawana Dora aliondoka zake.mauti yalimkuta akipambana msituni huko Bolivia.
 
Che guavara alienda Congo kumsaidia marehemu Laurent Kabila na washikaji zake,aliboreka baada ya kuona wacongo wanapenda sana starehe, ngono hivyo akaona itakuwa vigumu kufanya mapinduzi akaondoka zake akiwa disappointed...!
 
nilisoma makala moja kwenye gazeti la raia mwema, wanasema aliwahi kumtembelea Abdurahman Babu Zanzibar
 
Back
Top Bottom