Leo ni tarehe ya kipekee sana haitatokea tena kamwe 25-02-2025; Leo ni tarehe 0!

Kila siku ina tarehe ya kipekee na hazijirudii? hata tarehe ya kesho ni ya kipekee na haiwezi kujirudia kama ilivyokua jana.
 
Leo ni tarehe 0! Tarehe ya leo ni ya kipekee kabisa, inaundwa na number 0, 2 na 5 pekee 25-02-2025.
2(5-0-05)=0
!
Sasa ndo nini sasa fazili na wewe kwani moshi wa bangi unautolea tundu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…