Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

hebu naomba kila mtu anipe top five ya hiphop za bongo za hapo kitambo kidogo....ukiweka na kastory itakua poa
 
Sumu ya teje Sumu ya teja Segerea. Hapo nakuwa na hisia zaidinya Bob
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…