Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni noma aisee ila hata MZEE WA BUSARA ya Juma Nature ni noma piaUSIULIZE from RADO
Na baadaye ikajibiwa.Dkt KB
UmetishaKwa Majani Natoka Na Beat za Nikusaidiaje, Mikasi, Nini Mnataka, Na Nampenda yeye.
Kwa Mika Mwamba.. Ya kwanza Tamala, Babe Gal, Mpenzi ya Dudu Baya, Nakumind ya Temba na Zote za mahadhi ya Barua, Salome au Omba umauti ya Fagio la chuma.
Kwa Mj nakutana na Wauguzi ya Wagosi, Fani katika Maisha ya Mzimuni family chorus ikifanyiwa maafa na Q Chilla, ukitaka nipende au nichukie ya wateule..
Soundcraft, tumerudi tena ya wateule,
Mawingu, jebi wanapagawa, alikufa kwa ngoma,
Nyinginezo... Mawazo ya Jide.... Tangazo ya Bantu Mcz..... Kaa tayari ya Jose Mtambo... Kosa la Marehem ya Uswahilini matola,... Wapo wanotaka ya Danny Msimamo,..... Kighetogheto ya Nature na Mtoto wa geti kali ya Babuu,....
Bado nafuta vumbi mafaili
Ngoma noma sn huyu jamaa ana saut Tamu sana aisee, hiyo "alphonsine" ndo usipime.Saaaana,..ngoma namuelewa sana sana,.na ile ya Alphonsine unaionaje!?
Dear Mama - TupacNge- Oliva Ngoma
Nitafanya- Kidumu & Jide
Samboira- Ben Pol
Slim..Dear Mama - Tupac