Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Beat la Dudubaya wimbo ule wa umeondokaaa umeondokaa daah nilikuwa nikihisi kufa kufa nikiusikia ukipigwa
 
Bongo.com... TNG squad

Naja.... Squeeza ft nature

Niko busy.... Jahfarai

Wanapendana... FA ft Dully Sykes

Bishoo..... J moe

Sugu....Mr. 2

Kama.... Mike tee

Ndani ya club.... P funk ft Saigon,nature,bodea

Kazi pesa matanuz.... Snare ft ay

Yule.... Ay

Aisha Aisha.... Park lane

Story.... Soggy dog

Piga makofi.... Jay
 
Aka Mimi ....ngwair
Inaniuma sana...juma nature
Chagua moja....fid q
Twenzetu....tmk

Tid kuna nyimbo yake Moja anaimba
Mtanzania mieee...msinichukiee..
Ndo yuleyulee pekeee..mwenye sauti ya pekee
Jina limenitoka
 
Kisa we masikin, unaona huwezi kuwa nami
Marafiki wanahoji kwamba we utanipa nini
Jibuuuu lao ni moja kwamba nahitaji penzi
Bila shaka ni la dhati lisijeleta.................
Maunda Zoro kama sijakosea
 
mbwembwe za vionjo vya gitaa pindi unapoanza wimbo wa Kasuku
 
Back
Top Bottom