Darius Tanz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 461
- 137
Kibanda cha simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya Nge hatareeee vp na cherry(adia) nayo ushaiskiza.Nge- Oliva Ngoma
Nitafanya- Kidumu & Jide
Samboira- Ben Pol
Bab Kubwa Ni ya Plannet wa Iringa ila Bongo.com ndio ya TnGBaab kubwa ya TNG balaaa
Hao wana itwa Victoria eleison kama sikoseiKuna wimbo wa kikongo miaka ya 90 nadhan unaimba "kidekulee ei maama kidekulee" yaan nautafuta na sifaham aliyeimba nani
Wifey nextWadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa. Zinanikumbusha life ya shule boarding enzi hizo tukienda kucheza disco shule za boys. Karibuni
We mwana hujui umenigusaje aseeNikisikia London Beat Thinkin about you nakumbuka long tym sana tukiwa kwenye kikundi cha Acrobatic.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] acha tu mkuu.Leo wasanii ni wakina country boy, gigy money,
Dkt KBMwaanza Zirekebishee baarabara x 2, sikumbuki hii kitu ilipigwa na nani.
Saaaana,..ngoma namuelewa sana sana,.na ile ya Alphonsine unaionaje!?Hiyo ya Nge hatareeee vp na cherry(adia) nayo ushaiskiza.