Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah alikuwa fresh p Tina lile tina mama wee mambo gani Tina umefanya Tina sasa mbona uneniacha tulipendana tokana na makosa kwako Mimi sitarudia kosa kwako wewe nilikanyanga nyokaTina,ile kolasi ya juma nature aliuwa sana.ilikua nyimbo ya nani viile??fresh p au??
Planet 2000Beat ya wimbo wa Baabkubwa sijui aliimba nani ile ngoma.
huu apa nimeukuta huko YoutubeMike T ni moja ya wasanii ninao penda style zao za kuimba.
Kuna wimbo aliimba unaitwa Kama ningekuwa star, nautafuta kweli.
huu apa nimeukuta huko Youtube
Wala siwezi kwenda kwa gwangwedaaaaaaaBeat ya Mh. Temba ft: Dully sykes, Nampenda yeye!
We jamaaa hapana.......andika kijipeperushi kusimulia.Niliwah kuingia nae mgogoro ilinibidi kuandika barua ndefu sana kuomba msamaha na nyuma nikachora picha ya mtu kapiga magoti anasali rosari ya Mama Bikira Maria, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
dah!! acha kabisa mkuu noma sana, wakati huo hiyo nyimbo ikipigwa nilikuwa nasogea jirani na radio na kuongeza sauti.Wala siwezi kwenda kwa gwangwedaaaaaaa