MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
"....Ni usawa wa ukweli na uwazi; ukimpenda mtu mtu bwana..........mwambie ukweli sio kumpakazia...."wanocku nock- Mandojo and domo kaya ft lady jaydee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"....Ni usawa wa ukweli na uwazi; ukimpenda mtu mtu bwana..........mwambie ukweli sio kumpakazia...."wanocku nock- Mandojo and domo kaya ft lady jaydee
Tungo za zaman zilikua vema sanaBeat ya Ice cream by Noorah baba styles...
Michano ya wimbo wa Tathmini by prof Jay
Collabo: Mtazamo by Afande ft Solo thang, Prof Jay.
Loves song: Asali wa moyo remix by Inspector.
Rap katuni: Kindumbwendumbwe by LWP Majitu mwitu msitu.
Best group😀az Nundaz Wimbo Barua
Producer: 1st Majani, 2nd Mika Mwamba.
Female artist:Jide
Kipindi bora bongoflava:
1st.Bongo flava by Redio one( ambacho ndio chimbuko la jina la bongo flava ambalo muzik huu umeitwa).
2nd. John 1416 by radio uhuru.
Dj: namkumbuka dj Tass, Dj John Dilunga Matrou.
Hot groups: University corner, ECT kutoka upang n masaki, Wachuja nafaka, Gangwe mob, Daz nundaz, Hardblasters, Mabaga fresh,Solid ground family,LWP majitu, GWM.
.....mweupe kidogo naniii nampendaa nampendaaNilikuwa naipenda ile "nampenda,na sifa nakupa mpenzi wangu,sitawapenda wote wasiopenda maendeleo yangu,mpenzi wangu. Nampenda mpenda nani,msichana mmoja nani,mweupe kidogo nani..nampenda,nampenda."
Bongo banglaNakupenda Regina-Akili the brain
Majani alikuwa na beat za hatari sana...hiyo ratiba zetu ya Sna Lee ni balaa tupu!Bongo bangla
Tonight - yakii
Ratiba zetu- snalee na ngwair
Majani aisee beat zake za kushiba kick zake hatari na hazina distortionMajani alikuwa na beat za hatari sana...hiyo ratiba zetu ya Sna Lee ni balaa tupu!
Hapa umemaliza mazeeMpenzi ninakumaind Mh. TEMBA kazi ya mika mwamba.. chambua kama karanga kazi ya mika! Nje ndani gangwe mob kazi ya majani T shirt na jeans university corner kazi ya master jay .. mwana mkiwa ksal kazi ya mika ..mabinti wa kitanga bwana misosi kazi ya mika ..pig black nini mnataka mazee kazi ya P.. namalizia na beat ya Taifa hili game ya sir nature kazi ya P
Kuna ngona ya mike t ft jaydee- nyaluland naielewa sana.Kama dude la mike T ft Jay mo, aisee, kama mike T ningekua star, kama ningekuwa na mkwanja kachaa iringa town ingekuwa balaa
Unaipata vizuri eeh?.....mweupe kidogo naniii nampendaa nampendaa
aiseee [emoji1][emoji1][emoji1]
yaaah, enzi hizooUnaipata vizuri eeh?