Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
huu wimbo ulikuwa unanifanya nitamani kuingia kwny ulimwengu wa mapenzi....ray c alitulia sana kwny huu wimboRay c,,nataka niwe na wewe milele,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu wimbo ulikuwa unanifanya nitamani kuingia kwny ulimwengu wa mapenzi....ray c alitulia sana kwny huu wimboRay c,,nataka niwe na wewe milele,,,
huu wimbo unankumbshaga sana marehem Aaliya, nammiss na kuwazaga sijui angekuwa level gani kama angekuwepo hadi leo....C u when u get there coolio
huyu jamaa nae alikuwa vizuri sijui yuko wapi...Niite basi baby uwe wangu nikakutambulishe kwa ndugu zangu shida zako zote ni za kwangu
By Joseline
hahaha mm hadi tune inapiga kichwani kabisa, alafu na hisia za kipindi kile zinarudi....Mkuu umenifanya niimbe wakati nayasoma haya mashairi.
Yaani tunazeeka kweli, siku hazigandi.
WALIKUA WANAITWA VWP (VOICE WITH PURPOSE)Mwaanza Zirekebishee baarabara x 2, sikumbuki hii kitu ilipigwa na nani.
Noo ni Bwv (boys with voice )WALIKUA WANAITWA VWP (VOICE WITH PURPOSE)
Swadaktaa...Beat ya Mh. Temba ft: Dully sykes, Nampenda yeye!
WALIKUA WANAITWA VWP (VOICE WITH PURPOSE)