Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Kama tukizungumzia beats tu basi ni ile ya "Nini mnataka mazee" ile beat ni kali mazee,yaani kama angeipiga live basi ingehitaji ma guitarist kama 20,wapiga vinanda 10,drummers kama 6,saxaphone 9,pia kuwe na wapiga filimbi,chekecha,miluzi nk!! Ile beat Wacha kabisa!! Nyingine ni hiyo ya Mwana Fa,Alikufa kwa ngoma! Tusichanganye nyimbo nzuri na beat nzuri! Nyimbo inaweza kuwa mbaya lakini ikabebwa na beat au vice versa!!
Yahh beat nzuri mimi nazungumzia. Mfano. Mikasi haikua na mashairi ya kupendeza sana ila ilikua na beat nzuri
 
Dar mpaka Moro ,tmk wanaume. Juma nature acha kucheza kwa mapepe pepe mpaka watu wakakushangaa. Nakitambitambi chenye uzitoo,cha gram ngapi ni thatee
 
Beat ya wimbo wa Baabkubwa sijui aliimba nani ile ngoma.
 
Wadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa. Zinanikumbusha life ya shule boarding enzi hizo tukienda kucheza disco shule za boys. Karibuni
Mlikuwa mnaenda shule gani?
 
Back
Top Bottom