Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 458
Hot pot family vutuko uswahiliniiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yahh beat nzuri mimi nazungumzia. Mfano. Mikasi haikua na mashairi ya kupendeza sana ila ilikua na beat nzuriKama tukizungumzia beats tu basi ni ile ya "Nini mnataka mazee" ile beat ni kali mazee,yaani kama angeipiga live basi ingehitaji ma guitarist kama 20,wapiga vinanda 10,drummers kama 6,saxaphone 9,pia kuwe na wapiga filimbi,chekecha,miluzi nk!! Ile beat Wacha kabisa!! Nyingine ni hiyo ya Mwana Fa,Alikufa kwa ngoma! Tusichanganye nyimbo nzuri na beat nzuri! Nyimbo inaweza kuwa mbaya lakini ikabebwa na beat au vice versa!!
Daaa,,tamalaaaMimi Ruff ryders- what ya want
Tamala - hardmad
She got gwan
So into - fabulous
Mlikuwa mnaenda shule gani?Wadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa. Zinanikumbusha life ya shule boarding enzi hizo tukienda kucheza disco shule za boys. Karibuni
Sijui kapotelea wapiMSELA ya Chelea man
" ...Sometimes napiga debe namwaga zege eeee, yote nafanya......