Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Bush Party au Vailet wa Matonya...

Acha sasa hivi Diamond akusanye kusanye mara Allelujah, Mara Zilipendwa, Mara....Salome...full kukopi na kupaste!!!
 
Kwanza unit- msafiri.

Moja ya mashairi yake..

"Nchini misri u-Mungu mtu umeshamshinda firauni/
Olewako useme rap uhuni/"

Prof jay ft ngwair- Una..

Sister p ft alichoki & mad brain- Achana nao.

John walker ft ras lion- Yalaa.

Mh temba ft dullsykes- namupenda yeye.

Matonya-tax bubu.

Bwana misosi-nitoke vipi.

Nipe tano-Daz nundaz.
 
Tina,ile kolasi ya juma nature aliuwa sana.ilikua nyimbo ya nani viile??fresh p au??
Yah alikuwa fresh p Tina lile tina mama wee mambo gani Tina umefanya Tina sasa mbona uneniacha tulipendana tokana na makosa kwako Mimi sitarudia kosa kwako wewe nilikanyanga nyoka
 
Ila jamani zamani bongoflava ilikuwa tamu sana ila ndo hawakutengeneza pesa . Hata siku hizi kwenye matamasha zikipigwa watu wanapagawa kwa machozi na furaha

Kama unakubaliana na mimi like nikuadd
 
Niliwah kuingia nae mgogoro ilinibidi kuandika barua ndefu sana kuomba msamaha na nyuma nikachora picha ya mtu kapiga magoti anasali rosari ya Mama Bikira Maria, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaaa hapana.......andika kijipeperushi kusimulia.
 
Back
Top Bottom