Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Lunch time(zilipendwa).
Kumbe shida ndio hufanyaaa..mtu kulala chini ya mitiii..
 
Yani unaweza patia beat ikamaliza kila kitu kama mistari haipo viziri
 
Oooooh oooohhh ohhhh.....
Burn it up...girl make it hot like the roof's on fire...burn it up...

RKelly na Daddy Yankee sijui...wahenga mtakua mnanielewaaa

Na beat la Gasolina

Na beat la 'King of the Dancehall' ya Beenie Man
Zagazaaaa...zagazaaalalaaaa

Weuweee ilikua ni motooo...yani fayaaaaa
 
Eno mic.... Ziggy dee
 
R Kelly ft wisin & yandel
 
Nani anakumbuka ngoma ya Jiti ft waziri sonyo-Ndoto tata. Mkono wa mika mwamba
 
umaskini si kilema - by mviko sound. humo utaskia sauti ya Waziri Sonyo, Toto Tundu, Jado FFU na solo ya Mathayo Chilongani
 
Umesahau kutoka kwa g record ya Roy.... Ice cream ya noorah

Na zile za park lane.... Aisha aisha na nafasi nyingine zimepikwa nani vile? Halafu kuna crunk moja la cpwaa nimelisahau jina em nikumbushe......
Pwaaa producer Luci. Sema lilifunikwa na ile kitu ya AY na homeboyz ya kenya..
Kweli man roy na Noorah tena baridi kam hii, mattonya na mapito dah.. Kweli man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…