Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ile ngoma ya Kali P inaitwa IMEKAA VIBAYA....noma mnoD nob-elimu mtaani.mika mwamba,kuna kale kafilimbi na ile kama gita sio gita. na nipo busy-jafaray kipindi majani yupo in fire
Wadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa. Zinanikumbusha life ya shule boarding enzi hizo tukienda kucheza disco shule za boys. Karibuni
R Kelly ft wisin & yandelOooooh oooohhh ohhhh.....
Burn it up...girl make it hot like the roof's on fire...burn it up...
RKelly na Daddy Yankee sijui...wahenga mtakua mnanielewaaa
Na beat la Gasolina
Na beat la 'King of the Dancehall' ya Beenie Man
Zagazaaaa...zagazaaalalaaaa
Weuweee ilikua ni motooo...yani fayaaaaa
Pwaaa producer Luci. Sema lilifunikwa na ile kitu ya AY na homeboyz ya kenya..Umesahau kutoka kwa g record ya Roy.... Ice cream ya noorah
Na zile za park lane.... Aisha aisha na nafasi nyingine zimepikwa nani vile? Halafu kuna crunk moja la cpwaa nimelisahau jina em nikumbushe......