mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Yupo kipindi ney wa mitego bado mgumu hajapata ela anavaa viatu havifanani, walikuwa wamepanga nyumba sehemu mmojaDuuuh kweli tumemsahau. Nikafikiri ameacha kuimba
hahaha the master him self..Har Mo Su the father of chumong
Huo wa mwana FA mimi na mabinti dam dam nilikua naupenda kwa sbb kuna jina langu mwana fa anataja hapo basi kipindi hicho ukisikia jina lako kwenye verse za wimbo wa mtu unajisikia uko juu hata kama kuimbwa hujaimbwa wewe😀😀😀Dakika moja ya ngwear feat Nura
Mimi na binti dam dam ya fa
Hii leo ya Gk. feat Fa,Ay
Dully sykes DHAHABUWadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa. Zinanikumbusha life ya shule boarding enzi hizo tukienda kucheza disco shule za boys. Karibuni
Dully ni mwanamziki mzuri sana kwa kipind kirefuDully ni legend ana nyimbo nzuri sana . Kuna ule wimbo kama zouk wa "Sikufahamu hunifahamu" aliupatia sana. Nyimbo za dully zinaishi