Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Nikitoka hapo naenda stetionery kununua karatasi za maua na stempu namuandikia barua mpenzi enzi hizo alikua bado anasoma Kondoa Girls.
Zamani raha sana. Yani hisia zilikua za kweli mpka mtu uandike barua unakua umejitolea mda wako umetuliaa unaaandika unabandika na viua ua. Chini unaweka dedication song 😀😀
 
Niliwah kuingia nae mgogoro niliandika barua ndefu sana kuomba msamaha nyuma nikachora picha ya mtu kapiga magoti anasali rosari ya Mama Bikira Maria, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah alikua dini nyingine? Lazima akwazike
 
Wadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa. Zinanikumbusha life ya shule boarding enzi hizo tukienda kucheza disco shule za boys. Karibuni
Mimi Ruff ryders- what ya want
Tamala - hardmad
She got gwan
So into - fabulous
 
Back
Top Bottom